Loading...

About Us

OUR HISTORY

TCBC was founded in 1999 by the support of East Africa Mission Fellowship (EAMF), a Christian mission organization in the USA and South Korea by Missionary, Rev. Andrew Park. Tanga Christian Bible College was founded to help educate and provide theological certificates and degrees to pastors and church leaders of Tanzania. Our school motto is: "Be honest, work hard, and be practical in Jesus." We believe that with hard work, honesty, and practicality in our saviour Christ Jesus, anything is possible!T.C.B.C. is now affiliated with and provides bachelor's degrees courses in Bible and Theology through Global University (USA).

HISTORIA YETU

TCBC ilianzishwa mwaka 1999 kwa msaada wa East African Mission Fellowship (EAMF), shirika la misheni la Kikristo nchini Marekani na Korea Kusini na Mmishenari, Mchungaji Rev. Andrew Park. Chuo cha kikristo cha biblia Tanga, kilianzishwa ili kusaidia, kuelimisha na kutoa vyeti pamoja na Shahada ya theologia kwa wachungaji na viongozi wa makanisa ya Tanzania. Motto wetu ni: Kuwa muaminifu, kufanya kazi kwa bidii, na kuwa kama yesu." Tuna amini kuwa, kufanya kazi kwa bidii, kuwa muaminifu, na kuwa kama yesu kila kitu kinawezekana.T.C.B.C, sasa imeungana na GLOBAL UNIVERSITY(USA) kwa ajili ya kutoa shahada ya theologia.